Donald Trump leo Jumatatu anaapishwa kuwa rais wa 47 wa Marekani. Akiwa na umri wa miaka 78 na miezi 7, Trump ni rais mteule mwenye umri mkubwa zaidi katika historia ya Marekani.
Dodoma/Dar es Salaam. Hatua ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kufanya mabadiliko ya Katiba yao huenda ikazua maumivu kwa wagombea ubunge na udiwani. Mabadiliko hayo yamefanywa na Mkutano Mkuu wa chama ...
Daniel Chapo, 47, anakabiliwa na kibarua kikubwa ya kuliunganisha taifa. Na Asha Juma & Ambia Hirsi Mkataba wa kusitisha mapigano utatekelezwa kwa awamu kadhaa kwa mujibu wa maelezo yaliyokuwa ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa maandalizi ya Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuharakisha upatikanaji umeme kwa Waafrika milioni 300 ...