HOMA ya ini ni ugonjwa unaoelezewa kuwa ni kuvimba kwa ini. Ini ni kiungo katika mwili wa binadamu kinachofanya kazi muhimu sana kama kuchuja, kupambana na hata kuondoa sumu mwilini. Kuna vitu vingi ...
ASANTENI!" Mkurugenzi wa Mkuu wa Afya wa Kenya Dkt Patrick Amoth amesema taifa fa hilo liko katika hali ya tahadhari baada ya ugonjwa unaoshukiwa kuwa wa Marburg kugunduliwa katika tiafa jirani la ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya duniani, WHO, limeripoti uwezekano wa kuweko kwa mlipuko wa homa ya Marburg wilayani Biharamulo na Muleba, mkoani Kagera nchini Tanzania baada ya watu 9 kuugua ...
Dar es Salaam. Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema watu wanane wamefariki dunia kutokana na ugonjwa unaoshukiwa kuwa wa virusi vya Marburg (MVD) mkoani Kagera. Taarifa iliyochapishwa mtandaoni na ...
Licha ya jitihada zinazoendelea kufanywa, imeripotiwa kuwa ugonjwa wa polio umeendelea kulitesa Taifa la Pakistan. Taarifa za vyombo mbalimbali vya habari nchini humo zinaeleza kuwa mwaka jana ...
Watoto wenye uzito mkubwa zaidi huwa takriban 12% ya watoto wanaozaliwa. Kwa wanawake walio na ugonjwa wa kisukari wakati wa ujauzito (sukari ya juu wakati wa ujauzito), asilimia hii huongezeka ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果