Nne, falsafa ya 4R za Rais Samia Suluhu Hassan,itumike hadi Zanzibar. Mshindi wa kweli wa uchaguzi wa Zanzibar atangazwe. Nawashauri Rais Samia na Rais Dk. Hussein Mwinyi kubalini kutibu makovu ya ...
Dar es Salaam. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, amesema mafanikio ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tangu kuasisiwa kwake ni kielelezo muhimu cha kujipambanua ubora wake kwa vyama vingine vya siasa vya ...
Tangu ameingia madarakani, tuzo mbalimbali zimemiminika kwa Rais Samia kwenye sekta za utalii, miundombinu, utawala bora na ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti ... na Huruma kwa wananchi. Alhaj Dk Mwinyi ameyasema hayo alipozungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu wa Masjid Jibril Mkunazini alipojumuika katika Sala ya Ijumaa.
RAIS Dk Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi wametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Kiongozi wa kiroho wa madhehebu ya Ismailia duniani na mwanzilishi wa Mtandao wa ...
Jamhuri ya demokrasi Congo ni kubwa kiasi kwamba ni theluthi mbili-za ukubwa wa Ulaya ... Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Rais wa Jamhuri ya demokrasi ya Congo, Félix Tshisekedi ...
"Rais Donald Trump amekuwa wazi sana: Guantanamo Bay itakuwa na wahamiaji wabaya zaidi. Hiyo inaanza leo." Idara hiyo ilichapisha picha kadhaa za wafungwa hao wakiingizwa kwenye ndege hiyo.
Katika mkutano huo, Rais wa Tanzania amewataka wenzake wa nchi za SADC na EAC kutafuta suluhu la utovu wa usalama mashariki ya DRC na kwamba historia itawahukumu vikali iwapo hawatafanya chochote ...
Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini amri ya rais ya kuiondoa Marekani katika Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu, ambalo ni baraza kuu la umoja huo linalosimamia ulinzi wa haki ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果