Kabla ya uteuzi huo, Dk Magembe alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi). Pia, Rais Samia amemhamisha Dk Seif Abdallah Shekalaghe kutoka Wizara ya ...
MKUU wa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe Ester Mahawe amefariki dunia leo mkoani Kilimanjaro. Taarifa ya kifo cha DC Mahawe imetolewa mkoani Dodoma na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na ...
Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar, Shaib Hassan Kaduara (kulia) akikata utepe na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), Arafat Haji akifungua kitambaa kuashiria ufunguzi wa ...