Sheria mpya za Israel zinazopiga marufuku Shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA, zilitarajiwa kuanza kutumika leo, zikileta mabadiliko makubwa katika shughuli zake ...
Wizara ya Afya ya Palestina katika mji wa Ramallah imesema mamlaka za Israel zimefahamishwa kuhusu vifo vya Wapalestina hao wawili huko Jenin. kwa upande wake, Jeshi la Israel limeripoti kwamba ...
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeonywa kwamba sheria mpya za Israeli zinazopiga marufuku shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina, (UNRWA), zinazotarajiwa kuanza ...
Ibiganiro ku cyiciro cya kabiri - cyitezweho gutuma abashimuswe basigaye barekurwa, ingabo za Israel zose zikava muri Gaza ndetse no "kugarura ituze rirambye" - bizatangira ku munsi wa 16.
Alipata umashuhuri kama kiongozi wa Intifadha ya pili na amekaa zaidi ya miongo miwili katika jela za Israel. Barghouti alikamatwa katika Operesheni ya Israel mwaka 2002, wakati Israel ...
Israel nayo imewaachia huru wafungwa 200 wa Kipalestina iliyokuwa inawashikilia kwenye jela za nchi hiyo. Mabadilishano hayo ya mateka na wafungwa ni sehemu ya makubaliano ya kusitisha vita ...
Jarrar, alifungwa na mamlaka za Israel kutokana na kauli zake ambazo Israel ilidai ni za kichochezi zilizotokana na hotuba zake kwa umma. Kwa mujibu wa mwandishi wa Al Jazeera, Nida Ibrahim, miongoni ...