Anakula kiapo Jumatatu ijayo. Anatinga ikulu akiwa Rais wa Marekani wa 47. Anaingia na historia ya kuwa rais wa pili kurudi madarakani katika vipindi visivyofuatana. Jarida la Times Magazine la ...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amemteua Said Kiondo Athumani kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA).
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetambulisha wagombea wake wa nafasi ya urais huku kikiweka wazi mikakati mitano ya kuendelea kubaki madarakani huku kipaumbele kikiwa kuondoa tatizo la ajira kwa vijana k ...
Uteuzi wa Lissu unakuja wakati huu ambapo tofauti zikionekana kuibuka ndani ya chama hicho cha upizani, changamoto ambayo wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanasema huenda ikikadhoofisha chama ...
Wagombea wawili wanawania uteuzi wa chama cha Republican kuelekea uchaguzi mkuu wa Marekani utakaofanyika Novemba mwaka huu, huku Rais Joe Biden akitizamwa kuwa mgombea wa moja kwa moja wa chama ...
Taarifa ya uteuzi huo imetolewa leo Ijumaa, Januari 17, 2025, na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka na kusainiwa na kusainiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Sharifa Nyaga. Dk Magembe ...
Kabla ya uteuzi huo, Mhandisi Lwamo alikuwa akikaimu nafasi hiyo. Taarifa iliyotolewa leo Januari 15, 2025 na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu, Balozi Dk Moses Kasiluka kupitia Mkurugenzi wa Mawasiliano ya ...
Akizungumza katika Hafla Maalum ya Chakula cha Mchana aliyoiandaa kwa ajili ya Wachezaji wa Timu hiyo katika Viwanja Vya Ikulu, Rais Dk.Mwinyi ameeeleza kuwa timu hiyo imeiletea Heshima kubwa Zanzibar ...
DAR ES SALAAM; DAR ES SALAAM; ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, amesema ni vyema Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ...
Lakini wakati akisubiri kula kiapo Ikulu, Usanga, ambaye katika uchaguzi uliopita aligombea ubunge wa Jimbo la Malinyi kwa tiketi ya ACT Wazalendo, aliitwa pembeni na kutakiwa aondoke. Uteuzi wa ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果