VIJANA wanne kutoka Kanda ya Ziwa, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, ...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Singida Mjini,Shwahibu Mohamed, amesema sio kweli kwamba wajumbe 29 wa mkutano mkuu kutoka Mkoa wa Singida wanamuunga mkono mgombea ...
Wakazi wanne wa mkoa wa Kagera na Mwanza, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka 49 yakiwemo ya kutumia laini ya simu iliyosajiliwa kwa jina la ...
KIPA wa Kagera Sugar, Ramadhan Chalamanda amesema pamoja na ugumu wa mechi dhidi ya Yanga, lakini kutokana na uhitaji wa ...
KAGERA Sugar imetamba kwamba haiifuati Yanga jijini Dar es Salaam kinyonge, bali imejipanga kukabiliana ipasavyo na mabingwa ...
Wapatanishi wa Israel na Hamas wanafanya juhudi za mwisho kufikia mkataba wa usitishaji vita vya Gaza mjini Doha, Qatar huku pande zote zikiashiria majadiliano yamekamilika. Ripoti ziliibuka kuwa ...
Hakuna tarehe iliyotangazwa ya mkutano mpya wa mawaziri wa mambo ya nje mjini Luanda, Angola, chini ya mwamvuli wa Rais Lourenco. Kwa wakati huu, makubaliano ya amani yanasalia katika hatua ya rasimu.
Alikuwa katika Mahafali ya 10 ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST) Mbweni, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. Kuelekea Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar hivi karibuni, Rais Samia naye ...
Katika taarifa iliyotolewa mjini Kinshasa MONUSCO imesema “Waasi wa M23 waliuteka mji wa Masisi siku ya Jumatatu wiki hii, na kusababisha kukimbia kwa watu wengi kutokana na mashambulizi mapya ya ...
Néné Bintu ni msimamizi wa ofisi ya uratibu wa asasi za kiraia mjini Bukavu aliyeongoza maandaman hayo. «Tunataka Rais wa Jamhuri achunguze kinachofanyika katika jimbo letu sababu kuna hata ...
Aliyewahi kuwa kada wa Chadema na mbunge wa Bukoba Mjini kupitia chama hicho, Wilfred Lwakatare anasema ushindani ulioibuka kuelekea katika uchaguzi huo, haoni kama unaweza kuwa na athari hasi kwa ...