MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Singida Mjini, Swahibu Mohamed, amesema si kweli kwamba wajumbe wote 29 wa mkutano mkuu kutoka Mkoa wa Singida wanamuunga mkono ...
KIPIGO cha mabao 2-1 ilichopewa Namungo kutoka kwa Tabora United, kimemuamsha Kocha Juma Mgunda aliyesema ameona mwanga ambao akirekebisha kidogo tu mambo yatakuwa matamu kwa Wauaji hao wa Kusini.
Wakazi wanne wa mkoa wa Kagera na Mwanza, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka 49 yakiwemo ya kutumia laini ya simu iliyosajiliwa kwa jina la ...
KIPA wa Kagera Sugar, Ramadhan Chalamanda amesema pamoja na ugumu wa mechi dhidi ya Yanga, lakini kutokana na uhitaji wa ...
Shirika la habari la AFP linaripoti kuwa mamia ya wafungwa wametoroka katika jela moja iliyoko kwenye mji wa Goma, saa chache baada ya kuripotiwa kuwa waasi wa M23 na wanajeshi wa Rwanda ...
Ni Msemaji wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu Umoja wa Mataifa, OHCHR, Ravina Shamdasani hii leo katika mkutano na waandishi wa habari mjini Geneva, Uswisi akieleza kuwa OHCHR inatiwa hofu ...
DAR ES SALAAM; SIMBA wameanza kutamba bwana! Leo walijana pale Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke, Dar es Salaam kufuatilia kwenye televisheni mchezo wa mwisho hatua ya makundi kati ya timu hiyo na CS ...
Wapatanishi wa Israel na Hamas wanafanya juhudi za mwisho kufikia mkataba wa usitishaji vita vya Gaza mjini Doha, Qatar huku pande zote zikiashiria majadiliano yamekamilika. Ripoti ziliibuka kuwa ...
Hakuna tarehe iliyotangazwa ya mkutano mpya wa mawaziri wa mambo ya nje mjini Luanda, Angola, chini ya mwamvuli wa Rais Lourenco. Kwa wakati huu, makubaliano ya amani yanasalia katika hatua ya rasimu.
Pemba. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewasili katika Uwanja wa Gombani Chakechake mjini hapa, kuongoza sherehe za miaka 61 ya Mapinduzi zinazofanyika leo Jumapili, Januari 12, 2025. Pamoja na ...
Katika taarifa iliyotolewa mjini Kinshasa MONUSCO imesema “Waasi wa M23 waliuteka mji wa Masisi siku ya Jumatatu wiki hii, na kusababisha kukimbia kwa watu wengi kutokana na mashambulizi mapya ya ...
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, wamewakutanisha watoto yatima 200 wanaoishi katika vituo vya watoto yatima Manispaa ya Bukoba. Lengo kuu ...