KIPIGO cha mabao 2-1 ilichopewa Namungo kutoka kwa Tabora United, kimemuamsha Kocha Juma Mgunda aliyesema ameona mwanga ambao akirekebisha kidogo tu mambo yatakuwa matamu kwa Wauaji hao wa Kusini.
Wakazi wanne wa mkoa wa Kagera na Mwanza, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka 49 yakiwemo ya kutumia laini ya simu iliyosajiliwa kwa jina la ...
VIJANA wanne kutoka Kanda ya Ziwa, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, ...
Amesema kwamba sampuli zilizopimwa katika hospitali moja mjini Kagera na kuthibitishwa ... 2023 katika eneo hilohilo la Kagera wilayani Bukoba. Ameongezea kwamba kufikia sasa kumekuwepo na visa ...
Muonekano wa mazingira na wakazi katika mtaa wa Matopeni kata Kashai manispaa ya Bukoba wakiendelea na shughuli zao. Bukoba. Watu wawili kati ya watano waliofikishwa katika Hospitali ya Manispaa ya ...
Hakujawa na uthibitisho kutoka kwa jeshi la Kongo au serikali mjini Kinshasa kwamba mji huo mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini umekamatwa na waasi. Muungano wa waasi unaoongozwa na kundi la M23 lenye ...
Wakati M23 walipowasili mjini Goma, hawakupata upinzani mkali kutoka kwa jeshi la serikali ya DRC. Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa zaidi ya watu 700 wameuawa tangu M23 kuingia Goma. Aidha mamia ...
Ikiwa ni wiki moja sasa tangu waasi wa M23 watangaze kutwaa Goma, jimboni Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, na kisha serikali kutangaza Beni kuwa mji mkuu wa sasa wa ...
MSF na mamlaka za Sudan wapiganaji wa RSF walihusika katika shambulio la siku ya Jumamosi kwenye mji wa Omdurman, ambapo watu ya 60 waliuawa na wengine zaidi ya 100 walijeruhiwa, madai ambayo hata ...
lakini mpaka sasa hali ya wasiwasi inaendelea kuwakumba wakazi wa mjini Goma, kufuatia njaa na umasikini unaosababishwa na vita hivyo. Inatokea sasa hivi ...