Kiikolojia, misitu pamoja na uoto asilia nyasi na majani, mimea kwenye mbuga au maeneo mengine husaidia, kwa kiasi kikubwa, kufunika ardhi au udongo ili kuzuia mmomonyoko kutokana na kasi kubwa ya ...
MOTO asilia au wa nyika usiozimika ama mgumu kudhibitika unateketeza sehemu kadhaa za jiji la Los Angeles kwenye jimbo la Calfornia nchini Marekani. Umesababisha vifo vya takriban watu 16, kuharibu ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko, amesema ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa kituo kikuu cha kushindilia gesi asilia (CNG) kilichopo Ubungo, Dar es Salaam. Ametangaza kuwa kituo ...
Wataalamu wakiendelea na usimikaji wa mitambo ya kuweka gesi kwenye magari kituo cha gesi asilia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dk James Mataragio ...