Wananchi wa Jamhuri ya Congo, au Congo-Brazaville, ni mashuhuda wa jinsi shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni, WHO limewasaidia kukabiliana na ugonjwa wa macho na ngozi unaosababishwa na ...
Wananchi wa Jamhuri ya Congo, au Congo-Brazaville, ni mashuhuda wa jinsi shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni, WHO limewasaidia kukabiliana na ugonjwa wa macho na ngozi unaosababishwa na ...
Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti kuwa muuguzi mmoja amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola, katika mji mkuu, Kampala. Katibu mkuu wa wizara hiyo, Diana Atwine, amekiri mbele ya waandishi ...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko unaoshukiwa kuwa wa virusi vya ugonjwa wa Marburg umewaua watu wanane katika mkoa wa Kagera Kaskazini magharibi mwa Tanzania. Taarifa ya shirika hilo ...
Dunia ikiadhimisha siku ya magonjwa yaliyotengwa ,shirika la Afya duniani,WHO limetangaza rasmi nchi ya Guinea,imefanikiwa kuondoa ugonjwa wa malale . Hatua hii inajiri baada ya Guinea ...
Licha ya jitihada zinazoendelea kufanywa, imeripotiwa kuwa ugonjwa wa polio umeendelea kulitesa Taifa la Pakistan. Taarifa za vyombo mbalimbali vya habari nchini humo zinaeleza kuwa mwaka jana ...
Guinea imekuwa ilishiriki katika majaribio ya matibabu ya ugonjwa wa malale ambayo yalifanyiwa utafiti mara ya kwanza nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Timu ya madaktari kutoka DRC na Guinea ...
HOMA ya ini ni ugonjwa unaoelezewa kuwa ni kuvimba kwa ini. Ini ni kiungo katika mwili wa binadamu kinachofanya kazi muhimu sana kama kuchuja, kupambana na hata kuondoa sumu mwilini. Kuna vitu vingi ...
Haya yanajiri baada ya shirika la Afya Duniani (WHO) kuripoti mlipuko wa Marburg likitangaza kuwa watu wanane wamefariki kutokana na ugonjwa huo katika siku tano zilizopita nchini Tanzania.
Dar es Salaam. Zikiwa zimebaki siku tatu kuazimisha siku ya Kimataifa ya Kifafa duniani itakayoadhimishwa Februari 10, 2025, imeelezwa ugonjwa huo husababishwa na hitilafu ya kusambaa kwa umeme ...
UGONJWA wa malaria umekuwa tatizo kubwa katika maisha ya jamii, ukiambatana na madhara hadi hatua mbaya ya kifo. Kitaaluma una kinga kadhaa, ikiwamo matumizi ya chandarua. Ni bahati mbaya kuna uelewa ...