Ghuba ni mojawapo ya maeneo makubwa zaidi ya uzalishaji mafuta baharini duniani, ikiwa na asilimia 14 ya uzalishaji jumla wa mafuta ghafi wa Marekani na asilimia 5 ya uzalishaji wa gesi asilia kavu.
Akizungumzia uzalishaji wa umeme kwa nishati mchanganyiko, Samia amesema hadi sasa Tanzania ina uwezo wa kuzalisha megawati 3,431 na asilimia 58 ya hizo inatokana na vyanzo vya maji, asilimia 35 gesi ...