Wakichangia taarifa za utekelezaji wa ilani hiyo kwa upande wa Zanzibar na Tanzania Bara, wachangiaji wamesisitiza kuwa hakuna mbadala kwa Rais Samia na Dk. Mwinyi kutokana na mafanikio makubwa ...
RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kwa amani na utulivu kwa kuwa tume zote mbili za uchaguzi zimeanza maandalizi ili uchaguzi huo ...
Rais Donald Trump, Barron Trump na Makamu wa Rais J.D. Vance wakisikiliza wakati wa hafla ya 60 ya kuapishwa kwa rais katika jumba la Capitole huko Washington, Marekani, Jumatatu, Januari 20, 2025 ...
Donald Trump leo Jumatatu anaapishwa kuwa rais wa 47 wa Marekani. Trump anatarajiwa kutia saini idadi kubwa itakayoweka rekodi ya amri za rais punde baada ya kula kiapo cha kutumikia muhula wake ...
DODOMA – Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dk. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo Januari 20. Rais wa Jamhuri ya ...
na kuboresha sekta za kijamii. Kadhalika, Rais Mwinyi amepongezwa kwa juhudi zake za kukuza uchumi wa Zanzibar kupitia uwekezaji, utalii, na usimamizi wa rasilimali. Kwa mujibu wa CCM, hatua hii ni ...
wa kwanza ni Stephen Cleveland aliyekuwa Rais wa Awamu ya 22 na 24, aliingia madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 1885 hadi 1889 na kurejea tena 1893- 1897. Trump anaingia madarakani akiwa na ajenda ...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdallah amempongeza na kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kuwezesha ujenzi wa Jengo la Ofisi Kuu ya Wakala wa Vipimo (WMA) jijini Dodoma ...
Watu wanaopinga sera za Rais mteule wa Marekani Donald Trump walikusanyika jijini Washington kwa ajli ya kufanya maandamano makubwa na mkutano wa hadhara jana Jumamosi, ikiwa ni siku mbili kabla ...
Licha ya kuwa jela, Khan bado anashikilia ushawishi mkubwa katika siasa za Pakistan, huku wafuasi wake wakifanya maandamano makubwa yaliyokithiri ukandamizaji wa polisi. Maelezo ya picha ...
Kiasi kwamba suala hili litakuwa "kitovu cha mkutano" kati ya mkuu wa nchi wa Angola na mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ofisi ya rais wa Ufaransa pia anabainisha, ambapo "juhudi za Angola ...