Rais wa Congo Félix Tshisekedi anataka kurudisha ardhi aliyoipoteza kwa waasi, ikiwemo mji mkubwa wa mashariki wa Goma, na ...
Hakuna maelezo yoyote yaliyotolewa kuhusu jinsi Trump atakavyoweza kuchukua udhibiti wa Gaza. Tangazo hilo lililaaniwa kote ...
KATIKA dunia inayoendelea kwa kasi kwa kila nyanja, kuna kila sababu kwa Tanzania kuwa na chombo madhubuti cha kusimamia mazingira. Ni jambo lisilokuwa na ubishi kuwa kwa hali ya sasa na hata hapo ...
Mkapa akatoa mfano wa bangili akisema hata ikiwa nzuri kiasi gani, kama inabana kwenye mkono haifai. Je, hao wanaotajwa au kujitaja kuwa wanaweza kushika wadhifa wa makamu mwenyekiti CCM Bara sifa yao ...
Katika hatua muhimu kuelekea ujenzi wa Syria baada ya vita, makundi yaliyomng'oa Rais Bashar al-Assad yamemteua Ahmad ...
Kiongozi wa kisiasa wa kundi la waasi la M23 Corneille Nangaa ameapa kuwa wapiganaji wake hawatauachia mji wa Gomana kudokeza ...
Taarifa iliyotolewa jana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Afya, Roida Andusamile, ilifafanua kuwa mikakati ya serikali ni kuendelea kuwahudumia WAVIU kama kawaida. "Serikali ...
Mmoja wa wakimbiaji wa Marathon aliuliza kama ni salama kushiriki Marathon akiwa katika ujauzito muhula wa kwanza. Kwa kifupi, mazoezi mepesi hayana madhara kwa ujauzito katika hatua za awali yaani ...
Anorexia Nervosa ni ugonjwa wa akili unaosababisha muathirika kuwa na hofu kali ya kupata uzito au unene, hivyo kupoteza hamu ya kula kabisa, hatimaye kupoteza uzito mwingi unaohatarisha afya ya mwili ...
Uamuzi wa Mahakama ya Juu nchini Uganda uliotangaza kesi za kijeshi dhidi ya raia kuwa kinyume na katiba ni ushindi wa haki ...
Rwanda imesema Jumatano kuwa imefanya ugunduzi wa mafuta katika Ziwa Kivu, ikiwa ni kwa mara ya kwanza katika nchi isiyo na bahari katika eneo la Maziwa Makuu, kulingana na vyombo vya habari vya ndani ...
TATIZO lililokuwapo ni kuwa nilishamdanganya Mustafa kuwa sikuwa na ndugu yeyote hapa Dar. Hilo ndilo lililonifanya nishindwe kupanga uongo wa kumwambia kwamba ninakwenda kwa ndugu yangu fulani. Mpaka ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果