“Naishukuru sana serikali yangu kwa kutusaidia kupata huduma za afya, leo nimepima magonjwa ya moyo, sukari, na shinikizo la damu na kukutwa na tatizo la sukari. nimepewa rufaa na nina ahidi kwenda ...
Ulaji wa sukari kupita kiasi ni moja ya changamoto kubwa za kiafya zinazoongezeka duniani na kuleta madhara makubwa kama kisukari cha aina ya pili, magonjwa ya moyo na matatizo ya figo. Katika mwaka ...
hii inaweza kusaidia katika kudhibiti kiwango cha sukari kwa ufanisi. Kisukari kinahusiana na ongezeko la hatari ya matatizo ya moyo. Wafanyakazi wenye kisukari wanahitaji kuepuka vyakula vyenye ...