ameshawasilisha hilo katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni ya chanjo hiyo mjini Musoma hivi karibuni. "Mkoa wetu una mifugo 4,745,411, ng'ombe ni 1,451,484. Miongoni mwa mifugo hiyo, mbuzi ni 707,442, ...
Mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika umeagiza kutumwa mara moja kwa mawaziri wa ulinzi na wakuu wa ulinzi kwa nchi zinazochangia wanajeshi nchini DRC ...
Mfanyabiashara wa kuku katika Soko la Miembeni, Hussein Ali, alisema kufanyika kwa mkutano huo kumeongeza mzunguko mkubwa wa biashara kutokana na kuongezeka mahitaji ya kuku choma. “Unajua wageni ...
Mfanyabiashara wa kuku katika Soko la Majengo, Emmanuel Msangi amesema wanatarajia mzunguko mkubwa wa biashara kutokana na kuongezeka mahitaji ya vyakula kuwa mengi. “Mkutano wa CCM unakuwa na watu ...
Donald Trump amerejea tena katika Ikulu ya White House baada ya kuapishwa rasmi kuwa rais wa 47 wa taifa hilo Jumatatu tarehe 20 Januari. Trump ameahidi kuanza kwa "enzi mpya" kwa nchi hiyo na ...
Katika eneo lenye urefu wa mita kati ya 50 hadi 70 kuna majiko 15 yenye moto mkali yaliyobeba makarai ya mafuta yanayokaanga chipsi na kuku. Moto kutawala katika eneo hilo haina maana shughuli ...
KUNA video inazunguka mitandaoni ambayo ilianzia kwa mwandishi mkongwe, Muhidin Issa Mchuzi, aliyeposti kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram kupitia mfululizo wa makala zake za ...