Dar es Salaam. Wakati kukiwa na makundi mbalimbali ya watu wanaohitaji msaada, Benki ya Maendeleo imetaja umuhimu wa hatua ya kurudisha kwa jamii kwa ajili ya ustawi wa jamii. Benki hiyo, ambayo mwaka ...
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga, imewataka majaji, mahakimu na mawakili kutokuwa chanzo cha migogoro ndani ya jamii, kutokana na baadhi yao kudai kutotoa maamuzi ... akizungumza kwenye ...
Geita. Wadau wa Mahakama Mkoa wa Geita wamesema licha ya uendeshaji wa Mahakama kwa njia ya mfumo wa teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama) kuwa na tija, bado jamii ina uelewa mdogo kuhusu ...
POLISI Kata ya Ikoma Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Koplo Emmanuel Kisiri, ametunukiwa cheo cha Sajenti, kutokana na utendaji wake mzuri wa kazi hasa ushirikiano na kujiweka karibu zaidi na jamii ...
Eneo hili mpaka ni sehemu kidogo,watu wanavuka upande huu na mwingine, na watu ni jamii mmoja .Hapa tunaposimama saa hii ina mpaka na msitu wa Boni na watu waliathirika kutokana na shida upande wa ...
"Ninarekebishwa na huduma za urekebishaji na nilijitolea kwa sababu watu katika jamii yetu walikuwa wakitafuta msaada kwa watoto na kaka zao. "Kampuni ya uokoaji ilisema haikuwa na mtu yeyote ...
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Kampuni ya Vodacom Tanzania, Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) pamoja na Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania ...
"Nitakomesha tabia ya kukamata na kuachiliwa, na nitatuma wanajeshi kwenye mpaka wa kusini ili kuondoa uvamizi mbaya wa nchi yetu," alisema ... "Tubuni jamii ambayo haioni rangi ya ngozi na ...
MKUU wa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe Ester Mahawe amefariki dunia leo mkoani Kilimanjaro. Taarifa ya kifo cha DC Mahawe imetolewa mkoani Dodoma na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na ...
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo wanaanza kikao chao cha siku mbili ambacho pamoja na mambo mengine wanakwenda kupiga kura ya kujaza nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM ...