Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), kwa kushirikiana na Crown Media imezindua jukwaa la tano la The Citizen Rising Woman Initiative 2025.
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga, imewataka majaji, mahakimu na mawakili kutokuwa chanzo cha migogoro ndani ya jamii, kutokana na baadhi yao kudai kutotoa maamuzi yasiyo ya haki kwenye ...
Jumuiya ya Tiger Friends Association yenye makao yake makuu Mbezi Beach, Wilaya ya Kinondoni ilianzishwa mwaka 2000 kwa lengo la kushirikiana, kusaidiana na kusaidia jamii. Akitoa shukrani kwa misaada ...
Eneo hili mpaka ni sehemu kidogo,watu wanavuka upande huu na mwingine, na watu ni jamii mmoja .Hapa tunaposimama saa hii ina mpaka na msitu wa Boni na watu waliathirika kutokana na shida upande wa ...
POLISI Kata ya Ikoma Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Koplo Emmanuel Kisiri, ametunukiwa cheo cha Sajenti, kutokana na utendaji wake mzuri wa kazi hasa ushirikiano na kujiweka karibu zaidi na jamii ...
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Kampuni ya Vodacom Tanzania, Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) pamoja na Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania ...
kuhusu mchakato wa kusitisha mapigano ili kulinda Maisha ya watu na kuwezesha mtiririko mzuri wa misaada ya kibinadamu kwa watu na jamii zilizoathiriwa na vita. Kikao hicho kiliwahimiza viongozi ...
"Tubuni jamii ambayo haioni rangi ya ngozi na inategemea sifa," alisema. "Kuanzia leo, itakuwa sera rasmi ya serikali ya Marekani kwamba kuna jinsia mbili tu, wanaume na wanawake." Wakati wa ...
MKUU wa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe Ester Mahawe amefariki dunia leo mkoani Kilimanjaro. Taarifa ya kifo cha DC Mahawe imetolewa mkoani Dodoma na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na ...
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo wanaanza kikao chao cha siku mbili ambacho pamoja na mambo mengine wanakwenda kupiga kura ya kujaza nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果