Kiikolojia, misitu pamoja na uoto asilia nyasi na majani, mimea kwenye mbuga au maeneo mengine husaidia, kwa kiasi kikubwa, kufunika ardhi au udongo ili kuzuia mmomonyoko kutokana na kasi kubwa ya ...