Maelezo ya picha, Kenyatta aliendesha kampeini zake kwa kuhisrikiana na mgombea mwnza kutoka mkoa wa bonde la Uffa William Ruto Uhuru ulishindwa katika uchaguzi wa 2002 alipata asilimia 31 za kura tu.
Uhuru Kenyatta alipoingia madarakani kwa awamu ya pili mwaka 2017, nchi ilikuwa imegawanyika sana kwa misingi ya kikabila na kikanda na kukawa na tathmini nyingi tu ikiwa ni pamoja na uwezekano wa ...