Maelezo ya picha, Kenyatta aliendesha kampeini zake kwa kuhisrikiana na mgombea mwnza kutoka mkoa wa bonde la Uffa William Ruto Uhuru ulishindwa katika uchaguzi wa 2002 alipata asilimia 31 za kura tu.
Uhuru Kenyatta alipoingia madarakani kwa awamu ya pili mwaka 2017, nchi ilikuwa imegawanyika sana kwa misingi ya kikabila na kikanda na kukawa na tathmini nyingi tu ikiwa ni pamoja na uwezekano wa ...
Mnataka nifanye nini? Hii ndio kauli ya Uhuru Kenyatta kwa wakenya. Wakenya waliomchagua pamoja na waliompinga vikali katika chaguzi tata ya mwaka wa 2013 iliyoamuliwa na mahakama ya Jaji mstaafu ...