Kupunguza kula nyama na kunywa maziwa ni moja ya njia kubwa ya kupuunguza uchafuzi wako wa mazingira, utafiti mpya wa kisayansi umebaini. Lakini je kuna tofauti yoyote kimazingira kati ya kula ...