Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Dkt Edward Hoseah, na pia akawasimamisha kazi maafisa wa nne wa ...
Rais wa Tanzania John Magufuli amesema kuwa chini ya uongozi wake wasichana wa shule ambao hujifungua watoto hawataruhusiwa tena kurudi shuleni, Rais magufuli alikuwa akizungumza wakati wa mkutano ...
KATIKA sehemu ya kwanza ya ripoti hii kulikuwa na ushuhuda wa huduma ya choo katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli, wilayani Ubungo, Dar es Salaam, ikiwamo kukosekana mahitaji na huduma muhimu kwa watu ...
LICHA ya kulipia huduma, maelfu ya abiria wanaotumia Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli, mkoani Dar es Salaam, wako hatarini ...
Alitangaza kuwa angerudi baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa marufuku dhidi ya mikutano ya hadhara ya kisiasa iliyowekwa na mtangulizi wake John Magufuli, ambaye utawala wake wa chuma ...
Makamu huyo wa zamani wa rais, aliyechukua nafasi ya Rais John Magufuli, aliyefariki dunia ghafla mweziMachi 2021, alionyesha dalili za uwazi alipoingia madarakani, hasa akiidhinisha vyombo vya ...
Oktoba, mwaka huu, CCM kitashiriki uchaguzi wa saba wa vyama vingi, huku kikitarajiwa kuibuka na ushindi kutokana na sababu ...