Lakini, mtaalamu wa lishe Meenakshi anasema kwamba hatari hizi zinaweza kuepukwa . "Unaweza kula gramu 100 za kuku mara tatu kwa wiki. Mbali na kukaanga, inaweza kuliwa katika mchuzi au kuchemshwa.
Lakini unajua kama supu hususani iliyochemshwa vizuri kutoka kwenye nyama na mifupa iwe Ng'ombe, mbuzi , kuku au Kondoo ina faida sana kwa afya yako? Supu ya mifupa ni nini? Mchuzi wa mifupa ni ...