Maelezo ya picha, Polisi wa kupmbana na ghasia nchini Kenya GSU mjini Mombasa Baadhi ya maafisa hawa wanatoka kitengo cha polisi wa kupambana na ghasia au GSU na shirika la kitaifa la ujasusi.