Ndege ya abiria imeanguka katika eneo la Ziwa Victoria mkoani Kagera. Ndege hiyo imeanguka leo asubuhi mjini Bukoba. Polisi wakithibitisha kutokea kwa ajali hiyo wamesema wako kwenye eneo la tukio ...