Maelezo ya picha, Aina ya 1 ya kisukari hugundulika mapema wakati wa utoto au ujana ... Muhimu kuepuka vyakula na vinywaji vya sukari vilivyochakatwa, na kuachana na vyakula kama mkate mweupe.
"Mgonjwa wa kisukari aina ya 2 anaweza kuanza kupungukiwa na maji ... pamoja na wanga rahisi na vyakula vya viwandani vinahusishwa na hatari kubwa ya kupata aina ya kisukari cha 2.
Neuropathy husababisha maumivu ya misuli, hasa katika miguu na mikono. Hii ni kwa sababu neva zinazodhibiti misuli hupoteza ...